Kama ilivyoonyeshwa kwenye
Jinsi inavyofanya kazi
Fungua akaunti
Pakua app yetu bila malipo kwenye mfumo endeshi wa iOS au Android, na ufungue akaunti kwa kutumia anwani yako ya barua pepe ili ujiunge na jumuiya ya Wachangiaji wa Premise.
Angalia kazi zetu
Pitia soko letu la kazi na uchague shughuli unazozipendelea kisha uzikamilishe ndani ya dakika chache.
Pokea Malipo
Chagua njia ya malipo ili ulipwe papo hapo kupitia PayPal, Payoneer, au Bitcoin kulingana na njia za malipo zinazopatikana nchini mwako.